Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955156.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Wakifurahia jambo kwa pamoja Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Dhamana ya Hifadhi ya Mazingira Bw. Ali A. Mufuruki, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora na Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais


 

<< Back to News Archive.