Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776755.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akijadili jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Dhamana ya Hifadhi ya Mazingira Bw. Ali A. Mufuruki alimpotembelea Waziri Makamba Ofisini kwake


 

<< Back to News Archive.