NAIBU WAZIRI SIMA ATEMBELEA ENEO LA MRADI WA KUFUA UMEME WA RUFIJI

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima (kushoto) akipata maelezo ya kitaalamu juu ya hali ya mazingira katika eneo la mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Rufiji Hydro Power Project kutoka kwa Dkt. Samuel Gwamaka Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Naibu Waziri amefanya ziara ya kikazi kutembelea eneo hilo mwishoni mwa wiki.[:]