MRADI WA KUPAMABANA NA UCHOMAJI HOLELA WA TAKA WAZINDULIWA

[:en]Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa uteketezaji wa taka kwa njia salama bila kuathiri mazingira. Warsha hiyo ya siku moja imefanyika katika ukumbi wa NIMR jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi wa Shirikika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uendelezaji wa Viwanda (UNIDO) Dkt. Stephen Kagbo.[:]