MLIMA MUKENDO KUTANGAZWA ENEO LINDWA KIMAZINGIRA

[:en]Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwa na viongozi wa Wilaya na Manispaa akipanda Mlima Mukendo ili kujionea namna ya kuuhifadhi ikiwa ni miongoni mwa maeneo yaliyopendekezwa na Baraza la Madiwani kuhifadhiwa kwa mujibu wa Sheria ya Mazingira.[:]