MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO GHOROFA MBILI LA KITUO CHA MAMA NA MTOTO KMKM KIBWENI ZANZIBAR.

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa jengo la Kituo cha Mama na Mtoto katika Hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya shamra shamra za kuadhimisha sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar[:]