Makamu wa Rais awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika[:]