MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAZINGIRA CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA LEO

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati ya Mazingira ya Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika ukumbi wa TAMISEMI jengo la Mkapa House jijini Dodoma.[:]