MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MH. WILLIAM RUTO

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala Nchini uganda[:]