MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU MSAIDIZI WA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MJINI KIGOMA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste Motomoto Askofu Ezra Enock Mtamya mara baada ya kuwasili kwenye Kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika kwenye sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wa Majimbo[:]