Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (katikati) akiwa katika kikao cha pamoja cha Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo na kulia ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Dkt. Abdulhamid Y. Mzee.