KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA MAZINGIRA

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mara baada ya kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika ngazi ya Serikali za Mitaa.[:]