FURSA ZA UCHUMI NA UJASIRIAMALI KATIKA MAZINGIRA ZAJADILIWA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais akiwa na Mgeni Mahsusi Bi. Joce Msuya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mazingira Duniani (UNEP) katika mjadala wa fursa za Uchumi na Ujasiriamali. Mjadala huo umefanyika katika Ukumbi wa Makumbusho Dar es Salaa.[:]