 |
Total site visits: 282767.
|  |
Click on the thumb to select the album.
 |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw Mohsin Movahhed Ofisini kweke Mtaa wa Luthuli
Mjini Dar es Salaam |
| Waziri na Balozi wa Iran |
 |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa
Habari kuhusu Maadhimisho ya Saku ya Mazingira Afrika yanayoadhimishwa leo kulia
Ofosa Mazingira Mkuu Bi Esther Makwaia kwenye ukumbi wa Mikutano Ofisini Mtaa wa
Luthuli Dar es Salaam |
| Siku ya Mazingira Afrika |
 |
Semina ya Mazingira kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi |
| Senina ya Mazingira |
 |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kujadili Maandalizi ya Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran |
| Waziri na Balozi wa Iran |
|  |