BWAWA LA URUGHU NA MSITU WA USHORA KUTANGAZWA KAMA MAENEO-LINDWA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akizungumza na wakazi waishio pembezoni mwa ziwa Kitangiri Wilayani Igunga. Waziri Makamba amewaasa wakazi hao kuwa chachu katika kuhifadhi mazingira ya ziwa hilo kwa manufaa ya sasa na baadae.[:]